Madada Sita- Kiswala ( Official music video)


Video Madada Sita By Kiswala,Madada Sita ni kundi jipya la muziki linalowaunganisha Madada sita kutoka katika kituo cha mkubwa na wanawe.Madada 6 inaundwa na Emmy Wimbo, Favellritto,Ninaah, Lizzy, Love mams na Catrima.